Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family

  • 5 years ago
Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family
Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini Bwana." Inapojulikana kwamba binti yake ameikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho, anafanya mpango na mke wake kumkomesha. Katika siku hii, binti yao anarudi nyumbani kushuhudia injili ya kurudi kwa Bwana, na mjadala mkali, mcheshi, ilhali mzito wa familia unatokea ...

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: sw.godfootsteps.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu YouTube: youtube.com/channel/UCkUDnudSY6_KR123N2Yr7mw
Kanisa la Mwenyezi Mungu Facebook: facebook.com/kingdomsalvationsw/
Kanisa la Mwenyezi Mungu Twitter: twitter.com/CAGchurchsw
Kanisa la Mwenyezi Mungu Instagram: instagram.com/thechurchofalmightygodsw/
Kanisa la Mwenyezi Mungu Vimeo: Kanisa la Mwenyezi Mungu Vimeo: vimeo.com/thechurchofalmightygodsw
Kanisa la Mwenyezi Mungu Blogger: nikanisalamwenyezimungu.blogspot.com/
Kanisa la Mwenyezi Mungu Wordpress: nikanisalamwenyezimungu.wordpress.com
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.orgWasiliana Nasi: +254-700-427-192

Recommended