Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (6): Kurudi

  • 6 years ago
Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (6): Kurudi | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu anasema, “Unapokuwa umechoka na unapoanza kuona huzuni katika ulimwengu huu, usifadhaike, usilie. Mwenyezi Mungu, Mlinzi, atakaribisha kuwasili kwako wakati wowote. Yupo pembeni mwako Anakuangalia, anakusubiri uweze kumrudia. Anasubiri siku ambayo kumbukumbu zako zitarejea” (Neno Laonekana katika Mwili) Jinsi tu Xiaozhen aliachwa akiwa ameviliwa na kupigwa na ulimwengu huu na alijitoa mwenyewe kwa kukata tamaa, upendo wa Mwenyezi Mungu ulimjia na moyo wake ukaamshwa …

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

Recommended