Uzalishaji Wa Sukari

  • last year
Sekta Ya Sukari Imeshuhuduia Kudidimia Kwa Uzalishaji Wa Miwa Kwa Tani 10 Kwa Kila Hekta Moja. Haya Yamebainika Baada Ya Uchunguzi Wa Miaka Minee. Hali Hiyo Ikipunguza Uzalishaji Kutoka Tani 66 Hadi 55 Kwa Hektea Moja. Hili Likuwa Ni Chini Ya Kiwango Hitajika Cha Tani 63.

Recommended