Madaktari Watapeli Waonywa Kiambu

  • last year
Maafisa Wa Afya Kaunit Ya Kiambu Wameonywa Dhidi Ya Kuwatuma Wagonjwa Nje Ya Hospitali Za Umma Ili Wapate Huduma Na Dawa Kwengine. Wakati Uo Huo Waziri Wa Afya Kaunti Ya Kiambu Amewaonya Wataalam Wa Afya Dhidi Ya Kuiba Dawa Na Vifaa Vya Hospitalini Na Kusema Atakayepatikana Na Ataadhibiwa Vikali Kisheria.

Recommended