Maandamano Ya Azimio

  • last year
Kati Ya Viongozi Kutoka Kaunti Ya Narok Wameshtumu Maandamano Yaliyoagizwa Na Kinara Wa Azimio Raila Odinga Wakiwataka Wakaazi Kujitenga Nazo. Viongozi Hao Kati Yao Waliodai Kumuunga Mkono Raila Katika Uchaguzi Mkuu Uliopita Walishauri Wakaazi Wa Narok Kutojihusisha Na Maandamano Yanayopangwa Tarehe 20 Mwezi Huu Na Mrengo Wa Azimio.

Recommended