Maji Ya Mto Sabaki Yakauka

  • last year
Wakaazi Wa Magrini Na Malindi Wamo Katika Hatari Kubwa Ya Uhaba Wa Maji Baada Ya Mto Aliokuwa Wakiutegemea Kupata Majia Kukauka. Kukauka Kwa Mto Sabaki Kumewapa Kiwewe Wakaazi Hao Wa Malindi Na Magarini Na Sasa Wanatoa Wito Kwa Serikali Kuwanusuru Kwa Kuwachimbia Visima.

Recommended