Safari Ya Gulf Yatimia

  • last year
Takribani Miezi Minne Baada Ya Kutibuka Kwa Mpango Maelfu Ya Vijana Waliotakiwa Kusafiri Kufanya Kazi Nchini Qatar Wakati Wa Dimba La Kombe La Dunia Chini Ya Mwavuli Wa Shirika Moja Mjini Eldoret, Zaidi Ya Vijana 120 Watasafiri Hapo Kesho Kuelekea Mataifa Matatu Kwenye Ziara Ya Masomo Na Wengine Kusaka Ajira.

Recommended