Rais Ruto Asisitiza Kuwa Uchumi Utakuwa Bora

  • last year
Rais William Ruto Ametaja Kwamba Anafuata Sheria Na Katiba Katika Utekelezezaji Wa Majukumu Yake Huku Akiongeza Kwamba Hatoyumbishwa Katika Utendakazi Wake.Rais Akizungumza Hii Leo Katika Kaunti Ya Tharaka Nithi Ametaja Kwamba Uchumi Wa Kenya Utaimarika Chini Ya Utawala Wake.