Wabunge Wa Uda Wataka Mfumo Wa Mgao Wa Mapato Kuangaziwa Upya

  • last year
Baadhi Ya Wabunge Kutoka Maeneo Ya Embu Wanataka Mfumo Wa Mgao Wa Kipato Cha Taifa Kuangaziwa Tena. Mbunge Wa Manyatta Gitonga Mukunji Amesema Kwamba Si Sawa Ya Kwamba Maeneo Bunge Yanapokea Pesa Sawa Ilhali Idadi Ya Watu Haitoshani Aki Lalamika Kwamba Eneo Bunge Lake Lina Wanafunzi 15,000 Na Linapokea Pesa Sawia Na Maeneo Bunge Yenye Wanafunzi 1000, Mukunji Alikuwa Akizungumza Katika Hafla Ya Ugavi Wa Pesa Za Kufadhili Elimu Katika Eneo Bunge Lake.

Recommended