Suala La Bajeti Ya Bilioni 15 Yaleta Utata

  • last year
Aliyekuwa Waziri Wa Fedha Ukur Yattani Amesema Shutuhuma Dhidi Yake Kuwa Alipora Ksh Bilioni 15 Baada Ya Mdhibiti Wa Bajeti Margaret Nyakang'O Kupasua Mbarika , Viongozi Wa Kaskazini Mwa Kenya Wakiongozwa Na Mbunge Wa Kapseret Oscar Sudi Wamejitokeza Kumuomba Rais Ruto Kuendelea Kuwauliza Maswali Wale Wote Wanaodaiwa Kupora Mabilioni Ya Nchi .