Wanawake Wahimizwa Kupigania Viti Vya Uongozi

  • last year
Wanawake Wamehimizwa Kutafuta Vyeo Vya Uongozi Haswa Katika Tasnia Kuwa Vya Wanaume.Haya Yalisemwa Na Mbunge Wa Likoni Mishi Mboko Katika Hafla Ya Kusherehekea Siku Ya Wanawake Kaunti Ya Mombasa.