Unyakuzi Wa Ardhi Ya Wanyapori

  • last year
Wakaazi Wawili Wa Eneo La Orkungu Wadi Ya Mata Kaunti Ya Taita Taveta Wanauguza Majeraha Kufuatia Maandamano Ya Kupinga Kupokonywa Ardhi Iliyotengewa Wanyama Pori. Mbunge Wa Taita Taveta John Bwire, Amewaunga Mkono Wakaazi Katika Maandamano Na Kuwahakikishia Atapigania Kipande Hicho Cha Ardhi.