Mwanamke Anajisiwa Na Kuvunjwa Mguu

  • last year
Mwanamke Mmoja Eneo La Tamba Kaunti Ya Machakos Analilia Haki Baada Ya Kunajisiwa Na Kundi La Wanaume Usiku Wa Disemba 2 2022.Eunice Mueni Anadai Kuwa Kundi La Wanaume Watatu Lilimvamia Njiani Na Kumnajisi Huku Likimwacha Akiwa Amevunjika Mguu Wake Wa Kushoto.