Chakula Chasambazwa Shuleni: Waziri Ezekiel Machogu Na Rebecca Miano Waongoza Mpango Huo

  • last year
Waziri Wa Afrika Mashariki Na Maeneo Kame Rebecca Miano Na Mwenzake Wa Elimu Ezekiel Machogu Wanazuru Kaunti Mbalimbali Kusambaza Chakula Cha Msaada Kwa Wahanga Wa Njaa.