Wapangaji Watishia Wamiliki Kajiado

  • last year
Familia Moja Katika Kaunti Ya Kajiado Inaomba Maafisa Wa Polisi Kuingilia Kati Baada Ya Kutishiwa Maisha Na Wapangaji Katika Eneo Hilo. Wazee Wa Nyumba Kumi Wakiongozwa Na Matayo Tikoyin Wamesema Kuwa Hakuna Aliye Na Idhini Ya Kutishia Wengine Na Wanaowakosesha Amani Wakaazi Watakamatwa.