Ubalozi Kufanya Kazi Moja Kwa Moja Na Wizara Za Humu Nchini

  • last year
Ubalozi Wa Uswidi Nchini Umekumbatia Uamuzi Wa Serikali Kuruhusu Afisi Za Ubalozi Kushirikiana Moja Kwa Moja Na Wizara.Kulingana Na Ubalozi Wa Uswidi,Hatua Hii Itasaidia Katika Kupunguza Changamoto Kuu Ambayo Imekuwa Ikishuhudiwa Hapo Awali.