Gumzo La Mashoga Na Wasagaji

  • last year
Mbunge Wa Homa Bay Peter Kaluma Anasema Amekuwa Akipokea Vitisho Baada Ya Kunuia Kuwasilisha Mswada Mbele Ya Bunge La Kitaifa Ili Kuongeza Ukali Wa Adhabu Kwa Mashoga,Wasenge Na Wasagaji. Kaluma Amesema Kuwa Vijana Wanashawishiwa Kwa Kupewa Hadi Shilingi 500 Ili Kushiriki Katika Mapenzi Ya Jinsia Moja.Wabunge Wamekashifu Mahakama Ya Juu Kwa Uamuzi Wao Wa Kuandikisha Kitengo Hiki Kama Shirika Lisilo La Kiserikali.