Ombi La Walimu Kuongezwa Garissa

  • last year
Mbunge Wa Garissa Mohammed Dekow Ameiomba Serikali Kuzipa Kipaumbele Njia Za Kukabiliana Na Changamoto Zinazokumba Sekta Ya Elimu, Mojawapo Ya Changamoto Hizo Ikiwa Uhaba Wa Walimu Shuleni. Mbunge Huyo Amesema Elimu Inaendelea Kudorora Kutokana Na Ukosefu Wa Walimu.