Wizara Zaamua Kuungana Kikazi

  • last year
Wizara Ya Utalii, Wanyamapori Na Urithi Imetoa Ripoti Ya Sekta Ya Utalii Kwa Mwaka 2022 Ambayo Imeonyesha Kuongezeka Mapato Baada Ya Athari Za Janga La Covid-19.Akiwasilisha Ripoti Hiyo, Waziri Katika Wizara Ya Utalii, Wanyamapori Na Urithi Peninah Malonza Alisema Kuwa Sekta Ya Utalii, Wanyamapori Na Urithi Imechangia Asilimia 10.4 Ya Pato La Taifa (GDP) Sawa Na Dola Za Kimarekani Trilioni 9.6. Asilimia 5.5 Ya Ajira Rasmi Nchini Kenya Na Inachangia Asilimia 4.2 Ya Ukuzaji Wa Rasilimali Za Kitaifa.Malonza Anasema Kuwa Kama Wizara Kufanya Kazi Pamoja Na Wizara Ya Uchukuzi Itasaidia Serikali Kuvuna Pakubwa.

Recommended