Makali Ya Njaa Narok

  • last year
Wakaazi Wa Kaunti Ndogo Ya Narok Ya Kati Wamenufaika Na Chakula Cha Msaada Kutoka Kwa Serikali Ya Kitaifa, Katika Juhudi Za Kupunguza Makali Ya Ukame Nchini. Aidha Ombi La Jitihada Zaidi Zilitolewa Katika Zoezi Hilo La Ugavi Wa Chakula Lililoongozwa Na Mbunge Wa Eneo Hilo Agnes Pareiyo Na Naibu Kamishna Kaunti Hiyo Ali Shakur.