Wakulima Wa Samaki Taabani

  • last year
Wakulima Wa Samaki Nchini Kenya Wanahofu Ya Kukauka Kwa Mito Na Mabwawa Kufuatia Hali Kavu Inayochangiwa Na Ukosefu Wa Mvua Nchini. Haya Yamejiri Wakati Wa Mkutano Wa Kamati Inayoshughulikia Maswala Ya Uchumi Samawati Chini Ya Uenyekiti Wake Senata Wa Embu Alex Mundigi, Kusema Kuwa Wakulima Wa Samaki Ni Sharti Waangaziwe Kifedhana Serikali Ili Kuwaepusha Na Hasara.