Muungano Wa Azimio Watua Kisii

  • last year
Kinara Wa Muungano Wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Amollo Odinga Ameongoza Wanasiasa Wanaoegemea Mrengo Huo Katika Mikutano Ya Kisiasa Kaunti Ya Kisii. Aidha Mikutano Hiyo Imeibua Hisia Mseto Kati Ya Viongozi Wa Kisiasa Wa Eneo Hilo, Kati Yao Wakiipinga Huku Wengine Wakiiunga Mkono. Aidha Cheche Zimewatoka Wanasiasa Hao Dhidi Ya Utawala Wa Serikali Ya Kenya Kwanza.