Afueni Ya Gharama Ya Shule Fafi

  • last year
Kupitia Hazina Ya Maeneo Bunge Ya Ngcdf Mbunge Wa Fafi Salah Yajub Amewanunulia Wanafuzi Eneo Hilo Sare, Godoro, Neti Za Kuzuia Mbu Kando Na Bidhaa Nyingine Wanaporipoti Shuleni. Aidha Mbunge Huyo Ametangaza Kuwa Karo Yote Ya Shule Ya Wanafuzi Wa Fafi Ingelipwa Na Hazina Hiyo.

Recommended