Buriani Profesa Magoha

  • last year
Aliyekuwa Waziri Wa Elimu Nchini Marehemu Profesa George Magoha Hii Leo Ameandaliwa Misa Ya Wafu Katika Kanisa La Consolata Shrine Hapa Jijini Nairobi, Huku Jamaa Na Marafiki Wakiungana Katika Kumomboleza Mwendazake Kabla Ya Mazishi Yake Siku Ya Jumamosi. Haya Yanajiri Siku Moja Baada Ya Mwili Mwake Kufanyiwa Msafara Wa Heshima Ambapo Uliweza Kupelekwa Katika Sehemu Zote Magoha Aliwahi Kuhudumu . Viongozi Mbalimbali Akiwemo Rais William Ruto Walimuomboleza Magoha Wakimataja Kama Mchapakazi.