Lalama Za Wamiliki Wa Vilabu

  • last year
Muungano Wa Wamiliki Wa Vilabu Na Maeneo Ya Burudani Nchini Wametoa Wito Kwa Gavana Wa Nairobi Jonson Sakaja Kuandaa Kikao Nao Kutafuta Muafaka Wa Madai Ya Kelele Kwenye Maeneo Ya Makazi. Mwenyekiti Wa Chama Hicho Simon Njoroge Anasisitiza Kuwa Kufungwa Kwa Vilabu Na Maeneo Ya Buridani Huenda Kukasababisha Kupotezwa Maelfu Ya Ajira. Matamshi Yao Yanajiri Baada Gavana Sakaja Kubatilisha Leseni Za Vilabu Vilivyoko Kwenye Maneno Ya Makazi Jijini.

Recommended