Wahudumu Wa Afya Embu Kugoma Kuanzia Jumatatu

  • 3 years ago
Wakaazi Wa Embu Wanatarajiwa Kupitia Wakati Mgumu Baada Ya Wahudumu Wa Afya Kusema Kwamba Wataanza Mgomo Wao Jumatatu Ijayo. Wahudumu Hao Wa Afya Wanalalama Kuwa Serikali Ya Kaunti Ya Embu Ina Tabia Ya Kutowasilisha Hela Walizokatwa Kutoka Mishahara Yao Kama Vile Ada Za NHIF. Wanawataka Wagonjwa Wote Waliolazwa Kuhamishwa Kufikia Jumapili Jioni.

Recommended