Ruto Atetea Siasa Za Wilbaro Akisema Ndio Njia Pekee Ya Kukomboa Kenya

  • 3 years ago
Naibu Wa Rais William Ruto Ameendeleza Mjadala Wake Wa Kiuchumu Wa Kuboresha Maisha Ya Mwananchi Wa Kawaida Ya Wanasiasa.Ruto Aliyeungana Na Waumini Kanisani Eneo La Langata Hapa Jijini Nairobi Amewasuta Wale Wanaopinga Ajenda Ya Toroli Akisema Ni Nembo Tu Ya Kudhihirisha Jinsi Mamilioni Ya Wakenya Wanapitia Changamoto Za Kimaisha.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili//

Recommended