Ubongo Kids Webisode 26 - Ili Nikue. - African Cartoon

  • 7 лет назад
Angalia webisode ya kwanza kutoka msimu wa pili wa Ubongo Kids hapa hapa!\r
\r
Ubongo Kids Webisode 27 - Ili Nikue. - the Tanzanian animated cartoonas seen on TBC1! \r
\r
Jifunza kuhusu sayansi ya ukuaji kupitiahii ya Ubongo Kids, Africas clever new cartoon!\r
\r
Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: \r
\r
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.\r
\r
\r
\r
\r
\r
\r
An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.

Рекомендуем